sw_tn/deu/28/63.md

985 B
Raw Permalink Blame History

juu yako na kutenda mema, na kuwazidisha...atafurahia juu yako kwa kufanya upotee na kwa kukuangamiza. Utangolewa

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama kundi, hivyo mifano yote ya "wewe" ni uwingi.

utakayoenda...atakusambaza...utaabudu...ambayo hujawajua...wewe wala mababu zako

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja

Awali Yahwe alivyofurahia juu yako kwa kutenda mema, na kuwazidisha

"Yahwe awali alivyofurahia kutenda mema na kukusababisha wewe kuwa wengi"

atafurahia juu yako kwa kufanya upotee

"atafurahia kukufanya wewe kufa"

Utangolewa katika nchi utakayoenda kuimiliki.

Musa anazungumza juu ya watu kama walikuwa matunda ambayo Yahwe atayaondoa kwa kichaka. Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Atawaondoa kutoka kwenye nchi ambayo mnaingia kuimiliki"

kutoka mwisho mmoja wa dunia hadi mwisho mwingine wa dunia;

Hizi kulikokithiri kuwili kwa pamoja umaanisha kila sehemu duniani.