forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
985 B
Markdown
24 lines
985 B
Markdown
|
# juu yako na kutenda mema, na kuwazidisha...atafurahia juu yako kwa kufanya upotee na kwa kukuangamiza. Utang’olewa
|
|||
|
|
|||
|
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama kundi, hivyo mifano yote ya "wewe" ni uwingi.
|
|||
|
|
|||
|
# utakayoenda...atakusambaza...utaabudu...ambayo hujawajua...wewe wala mababu zako
|
|||
|
|
|||
|
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja
|
|||
|
|
|||
|
# Awali Yahwe alivyofurahia juu yako kwa kutenda mema, na kuwazidisha
|
|||
|
|
|||
|
"Yahwe awali alivyofurahia kutenda mema na kukusababisha wewe kuwa wengi"
|
|||
|
|
|||
|
# atafurahia juu yako kwa kufanya upotee
|
|||
|
|
|||
|
"atafurahia kukufanya wewe kufa"
|
|||
|
|
|||
|
# Utang’olewa katika nchi utakayoenda kuimiliki.
|
|||
|
|
|||
|
Musa anazungumza juu ya watu kama walikuwa matunda ambayo Yahwe atayaondoa kwa kichaka. Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Atawaondoa kutoka kwenye nchi ambayo mnaingia kuimiliki"
|
|||
|
|
|||
|
# kutoka mwisho mmoja wa dunia hadi mwisho mwingine wa dunia;
|
|||
|
|
|||
|
Hizi kulikokithiri kuwili kwa pamoja umaanisha kila sehemu duniani.
|