sw_tn/deu/28/42.md

391 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

atainuka juu zaidi yako juu na juu; wewe mwenyewe utashuka chini na chini.

Hii ni nahau inayomaanisha mgeni atakuwa zaidi na nguvu, pesa, na heshima kuliko Waisraeli.

atakuwa kichwa, nawe utakuwa mkia

Hii inamaanisha mgeni atakuwa kiongozi wa Waisraeli.