sw_tn/deu/28/42.md

12 lines
391 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.
# atainuka juu zaidi yako juu na juu; wewe mwenyewe utashuka chini na chini.
Hii ni nahau inayomaanisha mgeni atakuwa zaidi na nguvu, pesa, na heshima kuliko Waisraeli.
# atakuwa kichwa, nawe utakuwa mkia
Hii inamaanisha mgeni atakuwa kiongozi wa Waisraeli.