sw_tn/deu/28/18.md

637 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja.

Habari ya jumla

Haya maneno yalitokea mapema katika sura.

Utalaaniwa

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Yahwe atawalaani"

matunda ya mwili wako, matunda ya ardhi yako

Hii ni nahauu kwa ajili "watoto wako, mazao yako"

ongezeko la ng'ombe wako, na kundi la kondoo wako

Kujirudiarudia mara mbili mbili kuko kwa njia mbili kusema kwamba Yahwe atawafanya wanyama wa Waisraeli wengi na imara.

wakati unakuja ndani...wakati unaenda nje

Hii "merism" urejea kwa shughuli zote za kimaisha popote waendako.