# Habari ya jumla Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja. # Habari ya jumla Haya maneno yalitokea mapema katika sura. # Utalaaniwa Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Yahwe atawalaani" # matunda ya mwili wako, matunda ya ardhi yako Hii ni nahauu kwa ajili "watoto wako, mazao yako" # ongezeko la ng'ombe wako, na kundi la kondoo wako Kujirudiarudia mara mbili mbili kuko kwa njia mbili kusema kwamba Yahwe atawafanya wanyama wa Waisraeli wengi na imara. # wakati unakuja ndani...wakati unaenda nje Hii "merism" urejea kwa shughuli zote za kimaisha popote waendako.