sw_tn/deu/28/15.md

16 lines
556 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja
# lakini kama
Hapa Musa aanza kuelezea laana watu watapata kama hawatatii.
# Sauti ya Yahwe Mungu wenu
Hapa maneno "sauti ya Yahwe"umaanisha kile Yahwe asemavyo. "nini Yahwe Mungu wenu anasema"
# basi laana hizi zote zitakuja kwako na kukupita
Musa aelezea laana kama mtu anavyowavamia kwa mshituko au kwa nafasi na kuwashika. "Yahwe atakulaani hivi katika njia ambazo kabisa zitakushangaza, na itakuwa kama hautatoroka akulaanipo"