sw_tn/deu/28/15.md

556 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja

lakini kama

Hapa Musa aanza kuelezea laana watu watapata kama hawatatii.

Sauti ya Yahwe Mungu wenu

Hapa maneno "sauti ya Yahwe"umaanisha kile Yahwe asemavyo. "nini Yahwe Mungu wenu anasema"

basi laana hizi zote zitakuja kwako na kukupita

Musa aelezea laana kama mtu anavyowavamia kwa mshituko au kwa nafasi na kuwashika. "Yahwe atakulaani hivi katika njia ambazo kabisa zitakushangaza, na itakuwa kama hautatoroka akulaanipo"