sw_tn/deu/28/13.md

676 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja.

kichwa, na wala siyo mkia

Hii uelezea taifa la Israeli kama mnyama na umaanisha Waisraeli daima watakuwa viongozi juu ya mataifa mengine na kamwe watumishi watawafuata kwa nyuma. Waisraeli watakuwa bora kwa nguvu, pesa, na heshima.

watakuwa pekee juu...kamwe hawatakuwa chini

Waisraeli wataongoza wengine lakini kamwe hawatawapa wengine kuwatawala.

Ninakuamuru wewe

Musa anazungumza na Waisraeli wote, hivyo maneno "wewe" ni wingi.

kama hautageuka mbali kutoka...kwenda mkono wa kulia au kwenda wa kushoto

"kama hautatii... kwa njia yoyote"