# Habari ya jumla Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja. # kichwa, na wala siyo mkia Hii uelezea taifa la Israeli kama mnyama na umaanisha Waisraeli daima watakuwa viongozi juu ya mataifa mengine na kamwe watumishi watawafuata kwa nyuma. Waisraeli watakuwa bora kwa nguvu, pesa, na heshima. # watakuwa pekee juu...kamwe hawatakuwa chini Waisraeli wataongoza wengine lakini kamwe hawatawapa wengine kuwatawala. # Ninakuamuru wewe Musa anazungumza na Waisraeli wote, hivyo maneno "wewe" ni wingi. # kama hautageuka mbali kutoka...kwenda mkono wa kulia au kwenda wa kushoto "kama hautatii... kwa njia yoyote"