sw_tn/deu/27/20.md

20 lines
633 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuwaambia Walawi na watu kile wanachotakiwa kusema.
# Alaaniwe mwanamume
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Na Yahwe amlaani mtu"
# mke wa baba yake
Hii haimaanishi mama wa mwanamume, lakini mke mwingine wa baba yake.
# amechukua haki za baba yake
Mwanamume anapomuoa mwanamke, ni yeye pekee ana haki halali ya kulala naye. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "amechukua haki halali za baba yake"
# atakayelala na aina yoyote ya mnyama
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "anayelala na aina yoyote ya mnyama kwa namna ambayo mwanamume hulala na mwanamke"