sw_tn/deu/27/01.md

682 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo isipokuwa, maneno "yake" ni katika umoja.

ninazowaamuru leo ... mtakapopita

Musa anazungumza na Waisraeli kama kundi, kwa hiyo sehemu zote mbili za neno "wako" ni katika wingi.

ninazowaamuru

Hapa "ninazowaamuru" ina maana ya Musa. Wazee wapo pale kwa makubaliano na Musa, lakini ni yeye peke yake anayezungumza.

kuyachapa kwa lipu

Lipu mara kwa mara ni mchanganyiko wa chokaa, mchanga, na maji ambazo husambazwa juu ya kitu.

nchi inayotiririka kwa maziwa na asali

Hii ni lahaja. "nchi ambayo maziwa mengi na asali hutiririka" au "nchi ambayo ni sahihi kwa mifugo na kilimo"