sw_tn/deu/25/07.md

20 lines
549 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# napaswa kwenda malangoni mpaka kwa wazee
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "unapaswa kwenda juu katika malango ya mji ambapo wazee huamua masuala"
# amekataa kuwajibika kwa niaba ya jina la kaka yake
Hapa "jina" ina maana ya kumbukumbu ya mtu kupitia uzao wake. "anakataa kumpatia kaka yake mwana"
# hataki kufanya wajibu wa kaka wa mume kwangu
"hatafanya kile ambacho kaka wa mume wake anatakiwa kufanya na kunioa"
# Sitaki kumchukua
"Sitaki kumuoa yeye"