sw_tn/deu/25/07.md

549 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

napaswa kwenda malangoni mpaka kwa wazee

Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "unapaswa kwenda juu katika malango ya mji ambapo wazee huamua masuala"

amekataa kuwajibika kwa niaba ya jina la kaka yake

Hapa "jina" ina maana ya kumbukumbu ya mtu kupitia uzao wake. "anakataa kumpatia kaka yake mwana"

hataki kufanya wajibu wa kaka wa mume kwangu

"hatafanya kile ambacho kaka wa mume wake anatakiwa kufanya na kunioa"

Sitaki kumchukua

"Sitaki kumuoa yeye"