sw_tn/deu/25/05.md

782 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Iwapo kaka wanaishi pamoja

Maana zaweza kuwa 1) "kama ndugu wanaishi katika mahali pamoja" au 2) "kama ndugu wanaishi karibu na mwenzake".

basi mke wa marehemu hatakiwi kuolewa na mtu

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kisha familia ya mtu aliyekufa anapaswa kumruhusu mjane aolewe na mtu"

na kutekeleza wajibu wa kaka wa mume kwake

"na kufanya kile ambacho kaka wa mume aliyefariki anatakiwa kufanya"

atarithi chini ya jina la kaka yake mwanamume aliyefariki

Neno "jina" ni lugha nyingine ya ukoo wa mtu. "ataendeleza ukoo wa kaka wa mtu aliyekufa"

ili jina lake lisiangamie ndani ya Israeli

Neno "jina" ni lugha nyingine ya ukoo wa mtu. "ili kwamba ukoo wake usipotee kutoka Israeli"