# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # Iwapo kaka wanaishi pamoja Maana zaweza kuwa 1) "kama ndugu wanaishi katika mahali pamoja" au 2) "kama ndugu wanaishi karibu na mwenzake". # basi mke wa marehemu hatakiwi kuolewa na mtu Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kisha familia ya mtu aliyekufa anapaswa kumruhusu mjane aolewe na mtu" # na kutekeleza wajibu wa kaka wa mume kwake "na kufanya kile ambacho kaka wa mume aliyefariki anatakiwa kufanya" # atarithi chini ya jina la kaka yake mwanamume aliyefariki Neno "jina" ni lugha nyingine ya ukoo wa mtu. "ataendeleza ukoo wa kaka wa mtu aliyekufa" # ili jina lake lisiangamie ndani ya Israeli Neno "jina" ni lugha nyingine ya ukoo wa mtu. "ili kwamba ukoo wake usipotee kutoka Israeli"