forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
923 B
Markdown
28 lines
923 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
|
|
|
|
# hautakiwi kulala na dhamana yake ikiwa mikononi mwako
|
|
|
|
"Hautakiwi kubaki na koti lake usiku wote"
|
|
|
|
# dhamana yake
|
|
|
|
Hii ni lugha nyingine ya "kile alichoahidi angefanya kutoa kama angeshindwa kulipa kile alichokopa"
|
|
|
|
# kumrejeshea dhamana yake
|
|
|
|
"umrudishie alichokupatia kukuonyesha ya kwamba atalipa mkopo wake"
|
|
|
|
# ili aweze kulala ndani ya vazi lake na akubariki
|
|
|
|
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "ili kwamba aweze kuwa na koti lake kujipatia joto anapolala, na kuwa na shukurani kwako"
|
|
|
|
# vazi
|
|
|
|
Koti au nguo nyingine ambayo humpatia mtu joto wakati wa usiku. Yawezekana hii ilikuwa "dhamana" ambayo Musa alikuwa akizungumzia katika 24:10.
|
|
|
|
# itakuwa utakatifu kwako mbele za Yahwe Mungu wako
|
|
|
|
"Yahwe Mungu wako atatoa kibali kwa jinsi ulivyosimamia suala hili"
|