sw_tn/deu/24/10.md

20 lines
444 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" na "wako" hapa ni katika umoja.
# Utoapo mkopo wa aina yoyote kwa jirani yako
"Unapotoa mkpo wa kitu kwa jirani yako"
# kutafuta dhamana yake
"kuchukua dhamana yake"
# dhamana yake
Hii ni lugha nyingine ya "kile alichoahidi angefanya kutoa kama angeshindwa kulipa kile alichokopa"
# Utasimama nje
"unatakiwa kusubiri nje ya nyumba"