sw_tn/deu/24/10.md

444 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" na "wako" hapa ni katika umoja.

Utoapo mkopo wa aina yoyote kwa jirani yako

"Unapotoa mkpo wa kitu kwa jirani yako"

kutafuta dhamana yake

"kuchukua dhamana yake"

dhamana yake

Hii ni lugha nyingine ya "kile alichoahidi angefanya kutoa kama angeshindwa kulipa kile alichokopa"

Utasimama nje

"unatakiwa kusubiri nje ya nyumba"