forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
415 B
Markdown
16 lines
415 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Musa bado anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
|
|
|
|
# Mwanamume atakapochukua mke mpya
|
|
|
|
"Mwanamume anapokuwa ameoa mke mpya"
|
|
|
|
# na wala hataamrishwa kwenda kwenye shughuli yoyote ya kulazimishwa
|
|
|
|
Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "na hakuna mtu wa kumlazimisha kuishi mbali na nyumba yake na kufanya aina yoyote ya kazi"
|
|
|
|
# atakuwa huru kuwa nyumbani
|
|
|
|
"atakuwa huru kuishi nyumbani"
|