sw_tn/deu/24/05.md

415 B

Taarifa ya Jumla:

Musa bado anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Mwanamume atakapochukua mke mpya

"Mwanamume anapokuwa ameoa mke mpya"

na wala hataamrishwa kwenda kwenye shughuli yoyote ya kulazimishwa

Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "na hakuna mtu wa kumlazimisha kuishi mbali na nyumba yake na kufanya aina yoyote ya kazi"

atakuwa huru kuwa nyumbani

"atakuwa huru kuishi nyumbani"