sw_tn/deu/24/01.md

617 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Mwanamume akimchukua mke na kumuoa

Misemo "kuchukua mke" na "kumuoa" ina maana moja. "Mwanamume anapomuoa mwanamke"

asipokubalika machoni pa mumewe

Hapa "machoni pake" ina maana ya mtu mzima. "akiamua ya kwamba hampendi"

kwa sababu kagundua jambo ambalo si jema kwake

"kwa sababu fulani ameamua ya kwamba hataki kukaa naye"

anatakiwa amwandikie talaka

"anapaswa kumpa mke wake karatasi rasmi inayosema ya kwamba hawajoana tena"

anaweza kwenda na kuwa mke wa mwanamume mwingine

"anaweza kuondoka na kuolewa na mwanamume mwingine"