sw_tn/deu/23/24.md

28 lines
879 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno ya "wako" na "yako" hapa ni katika umoja.
# unaweza kula mizabibu idadi yoyote unayotaka
"kisha unaweza kufurahia kula mizabibu mpaka utosheke"
# lakini usiweke yoyote katika kikapu chako
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "lakini haupaswi kuweka mizabibu yoyote katika kikapu chako kubeba pamoja nayo"
# Utakapokwenda katika shamba la zao lililoiva la jirani yako
"Utakapokwenda katika shamba la jirani yako ambapo kuna zao linaota"
# unaweza kuvuna kichwa cha mavuno kwa mkono wako
"kisha unaweza kula viini vya mbegu kwa mikono yako"
# lakini haupaswi kutumia mundu kuvuna zao lililoiva la jirani yako
"lakini usikate chini mazao yalioiva ya jirani yako na kuchukua"
# mundu
kifaa chenye ncha kali ambacho wakulima hutumia kuvuna ngano