sw_tn/deu/23/24.md

879 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno ya "wako" na "yako" hapa ni katika umoja.

unaweza kula mizabibu idadi yoyote unayotaka

"kisha unaweza kufurahia kula mizabibu mpaka utosheke"

lakini usiweke yoyote katika kikapu chako

Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "lakini haupaswi kuweka mizabibu yoyote katika kikapu chako kubeba pamoja nayo"

Utakapokwenda katika shamba la zao lililoiva la jirani yako

"Utakapokwenda katika shamba la jirani yako ambapo kuna zao linaota"

unaweza kuvuna kichwa cha mavuno kwa mkono wako

"kisha unaweza kula viini vya mbegu kwa mikono yako"

lakini haupaswi kutumia mundu kuvuna zao lililoiva la jirani yako

"lakini usikate chini mazao yalioiva ya jirani yako na kuchukua"

mundu

kifaa chenye ncha kali ambacho wakulima hutumia kuvuna ngano