sw_tn/deu/23/12.md

594 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

na utakuwa na kitu katika zana zako cha kuchimbia

"na unatakiwa kuwa na kifaa utakachotumia kuchimbia"

utakapochuchumaa kujisaidia

Hii ni njia ya upole ya kusema kunya. "unapochuchumaa chini kunya"

unapaswa kuchimbia nacho

"unapaswa kuchimba shimo kwa kifaa"

kufunika kile kilichotoka kwako

"funika kinyesi chako"

ili kwamba asione kitu chochote kichafu miongoni mwenu

"ili kwamba Yahwe asione kitu chochote kichafu miongoni mwenu"