sw_tn/deu/23/12.md

24 lines
594 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# na utakuwa na kitu katika zana zako cha kuchimbia
"na unatakiwa kuwa na kifaa utakachotumia kuchimbia"
# utakapochuchumaa kujisaidia
Hii ni njia ya upole ya kusema kunya. "unapochuchumaa chini kunya"
# unapaswa kuchimbia nacho
"unapaswa kuchimba shimo kwa kifaa"
# kufunika kile kilichotoka kwako
"funika kinyesi chako"
# ili kwamba asione kitu chochote kichafu miongoni mwenu
"ili kwamba Yahwe asione kitu chochote kichafu miongoni mwenu"