sw_tn/deu/22/22.md

12 lines
284 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "yako" hapa ni katika umoja.
# Iwapo mwanamume kakutwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Kama mtu anamkuta mwanamume"
# anyi mtakuwa mmeondoa
"kwa njia hii utakuwa umetoa"