sw_tn/deu/22/22.md

284 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "yako" hapa ni katika umoja.

Iwapo mwanamume kakutwa

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Kama mtu anamkuta mwanamume"

anyi mtakuwa mmeondoa

"kwa njia hii utakuwa umetoa"