sw_tn/deu/22/09.md

673 B

Taarifaya Jumla:

Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "yako" hapa ni katika umoja.

ili kwamba mavuno yote yasichukuliwe na sehemu takatifu

Maneno "sehemu takatifu" ni lugha nyingine ya makuhani wanaofanya kazi katika sehemu takatifu. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ili kwamba makuhani katika sehemu takatifu ya Yahwe wasichukue mavuno yote" au "ili kwamba usitie najisi mavuno yote na makuhani wasikuruhusu kuyatumia".

na matunda ya mzabibu

"na matunda ambayo huota katika shamba la mzabibu"

sufu

manyoya malaini, yalikunjika ambayo huota kwa kondoo

kitani

uzi unaotengezwa kutokana na mmea wa kitani