sw_tn/deu/22/09.md

20 lines
673 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifaya Jumla:
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "yako" hapa ni katika umoja.
# ili kwamba mavuno yote yasichukuliwe na sehemu takatifu
Maneno "sehemu takatifu" ni lugha nyingine ya makuhani wanaofanya kazi katika sehemu takatifu. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ili kwamba makuhani katika sehemu takatifu ya Yahwe wasichukue mavuno yote" au "ili kwamba usitie najisi mavuno yote na makuhani wasikuruhusu kuyatumia".
# na matunda ya mzabibu
"na matunda ambayo huota katika shamba la mzabibu"
# sufu
manyoya malaini, yalikunjika ambayo huota kwa kondoo
# kitani
uzi unaotengezwa kutokana na mmea wa kitani