sw_tn/deu/22/08.md

16 lines
466 B
Markdown

# Taarifaya Jumla:
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "yako" hapa ni katika umoja.
# kitalu kwa ajili ya paa yako
uzio ulio chini ukizunguka ukingo wa paa ili watu wasianguke kutoka kwenye paa.
# ili usilete damu juu ya nyumba yako
Damu ni alama ya kifo. "ili kwamba isiwe kosa ya nyumba yako iwapo mtu atakufa"
# mtu akianguka kutoka pale
"kama mtu yeyote ataanguka kutoka kwenye paa kwa sababu haiukuweka kitalu"