sw_tn/deu/22/08.md

466 B

Taarifaya Jumla:

Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "yako" hapa ni katika umoja.

kitalu kwa ajili ya paa yako

uzio ulio chini ukizunguka ukingo wa paa ili watu wasianguke kutoka kwenye paa.

ili usilete damu juu ya nyumba yako

Damu ni alama ya kifo. "ili kwamba isiwe kosa ya nyumba yako iwapo mtu atakufa"

mtu akianguka kutoka pale

"kama mtu yeyote ataanguka kutoka kwenye paa kwa sababu haiukuweka kitalu"