sw_tn/deu/21/01.md

528 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Iwapo mtu amekutwa kauwawa

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. Iwapo mtu amemkuta mtu ambaye mtu mwingine amemuua"

kalala shambani

Mtu aliyekufa amelala shambani.

haijulikani aliyemshambulia

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na hakuna mtu anayejua aliyemshambulia"

wanapaswa kupima katika miji

"wanapaswa kupima urefu katika miji"

yule aliyeuawa

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "yeye ambaye mtu amemuua" au "maiti"