sw_tn/deu/21/01.md

24 lines
528 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Iwapo mtu amekutwa kauwawa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. Iwapo mtu amemkuta mtu ambaye mtu mwingine amemuua"
# kalala shambani
Mtu aliyekufa amelala shambani.
# haijulikani aliyemshambulia
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na hakuna mtu anayejua aliyemshambulia"
# wanapaswa kupima katika miji
"wanapaswa kupima urefu katika miji"
# yule aliyeuawa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "yeye ambaye mtu amemuua" au "maiti"