forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
749 B
Markdown
32 lines
749 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
|
|
|
|
# mkipigana
|
|
|
|
"kupigana vitani"
|
|
|
|
# kwa kushika shoka dhidi yao
|
|
|
|
"kwa kukata chini miti kwa shoka"
|
|
|
|
# Kwa maana mti wa kondeni mtu ambaye atauzingira?
|
|
|
|
Swali hili la balagha linawakumbusha watu kile ambacho walipaswa kukijua. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Kwa maana mti ya kondeni sio watu, kwa hiyo sio adui zako"
|
|
|
|
# unaijua siyo miti ya chakula
|
|
|
|
"unajua sio miti ambayo huotesha matunda ya kula"
|
|
|
|
# utajenga maburuji
|
|
|
|
Hivi ni vifaa na miundo, kama vile ngazi na minara, ambayo inahitajika kujenga maburuji kwa mji.
|
|
|
|
# mpaka ianguke
|
|
|
|
Hii ni lahaja. "mpaka watu wa mji watakaposhindwa vita"
|
|
|
|
# ianguke
|
|
|
|
Hapa "ianguke" ina maana ya mji ambao unawakilisha watu wa mji.
|