sw_tn/deu/20/19.md

749 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

mkipigana

"kupigana vitani"

kwa kushika shoka dhidi yao

"kwa kukata chini miti kwa shoka"

Kwa maana mti wa kondeni mtu ambaye atauzingira?

Swali hili la balagha linawakumbusha watu kile ambacho walipaswa kukijua. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Kwa maana mti ya kondeni sio watu, kwa hiyo sio adui zako"

unaijua siyo miti ya chakula

"unajua sio miti ambayo huotesha matunda ya kula"

utajenga maburuji

Hivi ni vifaa na miundo, kama vile ngazi na minara, ambayo inahitajika kujenga maburuji kwa mji.

mpaka ianguke

Hii ni lahaja. "mpaka watu wa mji watakaposhindwa vita"

ianguke

Hapa "ianguke" ina maana ya mji ambao unawakilisha watu wa mji.