sw_tn/deu/20/12.md

203 B

Lakini kama haitengenezi amani kwenu

Hapa "haitengenezi" ina maana ya mji ambao unawakilisha watu. "Lakini kama watu wa mji hawatajisalimisha" au "Lakini kama watu wa mji hawatapokewa ahadi ya amani"