# Lakini kama haitengenezi amani kwenu Hapa "haitengenezi" ina maana ya mji ambao unawakilisha watu. "Lakini kama watu wa mji hawatajisalimisha" au "Lakini kama watu wa mji hawatapokewa ahadi ya amani"