sw_tn/deu/20/10.md

679 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Wakati mtokapo kushambulia mji

Hapa "mji" unawakilisha watu. "Utakapokwenda kushambulia watu wa mji"

wafanye watu hao toleo la amani

"wape watu wa mji fursa ya kujisalimisha"

kufungua malango yao kwako

Hapa "malango" yana maana ya malango ya mji. Msemo wa "kufungua malango yao kwako" inawakilisha watu kujisalimisha na kuruhusu Waisraeli kuingia katika mji. "kuruhusu kuingia mji wao kwa amani"

watu wote wanaopatikana ndani yake

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "watu wote katika mji"

wanapaswa kulazimishwa kukufanyia kazi na wanapaswa kukutumikia.

"wanapaswa kuwa watumwa wako"