forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
679 B
Markdown
24 lines
679 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# Wakati mtokapo kushambulia mji
|
||
|
|
||
|
Hapa "mji" unawakilisha watu. "Utakapokwenda kushambulia watu wa mji"
|
||
|
|
||
|
# wafanye watu hao toleo la amani
|
||
|
|
||
|
"wape watu wa mji fursa ya kujisalimisha"
|
||
|
|
||
|
# kufungua malango yao kwako
|
||
|
|
||
|
Hapa "malango" yana maana ya malango ya mji. Msemo wa "kufungua malango yao kwako" inawakilisha watu kujisalimisha na kuruhusu Waisraeli kuingia katika mji. "kuruhusu kuingia mji wao kwa amani"
|
||
|
|
||
|
# watu wote wanaopatikana ndani yake
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "watu wote katika mji"
|
||
|
|
||
|
# wanapaswa kulazimishwa kukufanyia kazi na wanapaswa kukutumikia.
|
||
|
|
||
|
"wanapaswa kuwa watumwa wako"
|