sw_tn/deu/19/11.md

932 B

jirani yake

Hapa "jirani" umaanisha mtu yeyote kwa jumla.

amelala kumngojea yeye

Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kufanywa wazi. "jifiche na kusubiri kwa kusudi la kumuuwa" au " kupanga kumuwa yeye"

kuinuka dhidi yake

Hii ni nahau. "kumvamia yeye"

na kujeruhiwa na kufa

"na kuumiza yeye ili kwamba afe" au "na kumuuwa yeye"

unapaswa kutuma na kumleta nyuma kutoka huko

"unapaswa kutuma mtu kumchukua yeye na kumleta nyuma kutoka kwenye mji ambao alotorokea"

kumgeuza

Hii ni nahau "kumtoa yeye"

kwenye mkono wa ndugu wahusika

Hapa "mkono" uwakilisha mamlaka ya mtu.

anaweza kufa

"muuaji anaweza kufa" au " ndugu ahusikiae anaweza kumuuwa muuaji"

Macho yako hayapaswi kumuonea huruma

Hapa "macho yako" uwakilisha mtu mzima.

unapaswa kuondosha kutoka Israeli

Hapa "hatia ya damu" uwakilisha hatia kwa muuajia mtu asiye na hatia.

kutoka Israeli

Hapa "Israeli" urehea kwa watu wa Israeli.