sw_tn/deu/19/11.md

44 lines
932 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# jirani yake
Hapa "jirani" umaanisha mtu yeyote kwa jumla.
# amelala kumngojea yeye
Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kufanywa wazi. "jifiche na kusubiri kwa kusudi la kumuuwa" au " kupanga kumuwa yeye"
# kuinuka dhidi yake
Hii ni nahau. "kumvamia yeye"
# na kujeruhiwa na kufa
"na kuumiza yeye ili kwamba afe" au "na kumuuwa yeye"
# unapaswa kutuma na kumleta nyuma kutoka huko
"unapaswa kutuma mtu kumchukua yeye na kumleta nyuma kutoka kwenye mji ambao alotorokea"
# kumgeuza
Hii ni nahau "kumtoa yeye"
# kwenye mkono wa ndugu wahusika
Hapa "mkono" uwakilisha mamlaka ya mtu.
# anaweza kufa
"muuaji anaweza kufa" au " ndugu ahusikiae anaweza kumuuwa muuaji"
# Macho yako hayapaswi kumuonea huruma
Hapa "macho yako" uwakilisha mtu mzima.
# unapaswa kuondosha kutoka Israeli
Hapa "hatia ya damu" uwakilisha hatia kwa muuajia mtu asiye na hatia.
# kutoka Israeli
Hapa "Israeli" urehea kwa watu wa Israeli.