sw_tn/deu/19/01.md

36 lines
967 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa bado anazungumza na watu wa Israeli.
# Wakati Yahwe Mungu wenu huyapunguza mataifa
Yahwe kuwaharibu watu wanaoishi Kanani husemwa kama wamepungunzwa, kama mmoja angewapungunza kwa vipande vya nguo au kupungunza tawi la mti
# mataifa
Hii uwakilisha makundi ya watu ambayo huishi huko Kanani.
# wale ambao nchi Yahwe Mungu wenu anawapa
"yale mataifa ambayo yalikuwa yanaishi katika nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa"
# kuja baada yao
"chukua nchi kutoka mataifa yale" au "miliki nchi baada ya yale mataifa yaliyoenda"
# chagua miji mitatu
"chagua miji 3"
# Unapaswa kujenga barabara
Walikuwa wanajenga barabara ili kwamba iwe rahisi kwa watu kusafiri kwa miji hii.
# gawa mipaka ya ardhi yako kwa sehemu tatu
Ina maanisha kwamba moja ya miji waliochagua unapaswa kuwa kila sehemu ya nchi.
# nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anasababisha ninyi kurithi
Yahwe atoa nchi kwa watu wa Israeli husemwa kama watu walikuwa wanarithi nchi.