sw_tn/deu/19/01.md

967 B

Habari ya jumla

Musa bado anazungumza na watu wa Israeli.

Wakati Yahwe Mungu wenu huyapunguza mataifa

Yahwe kuwaharibu watu wanaoishi Kanani husemwa kama wamepungunzwa, kama mmoja angewapungunza kwa vipande vya nguo au kupungunza tawi la mti

mataifa

Hii uwakilisha makundi ya watu ambayo huishi huko Kanani.

wale ambao nchi Yahwe Mungu wenu anawapa

"yale mataifa ambayo yalikuwa yanaishi katika nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa"

kuja baada yao

"chukua nchi kutoka mataifa yale" au "miliki nchi baada ya yale mataifa yaliyoenda"

chagua miji mitatu

"chagua miji 3"

Unapaswa kujenga barabara

Walikuwa wanajenga barabara ili kwamba iwe rahisi kwa watu kusafiri kwa miji hii.

gawa mipaka ya ardhi yako kwa sehemu tatu

Ina maanisha kwamba moja ya miji waliochagua unapaswa kuwa kila sehemu ya nchi.

nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anasababisha ninyi kurithi

Yahwe atoa nchi kwa watu wa Israeli husemwa kama watu walikuwa wanarithi nchi.