sw_tn/deu/18/22.md

12 lines
305 B
Markdown

# Habari ya jumla
Yahwe aendelea kuzungumza
# nabii azungumza kwa jina la Yahwe
Hapa "jina la Yahwe" urejea kwa Yahwe mwenyewe na mamlaka yake. "nabii adai kuzungumza nami" au "nabii adai kuzungumza na mamlka yangu"
# nabii amezungumza kwa kiburi
"nabii amezungumza ujumbe huu pasipo mamlaka yangu"