sw_tn/deu/18/22.md

305 B

Habari ya jumla

Yahwe aendelea kuzungumza

nabii azungumza kwa jina la Yahwe

Hapa "jina la Yahwe" urejea kwa Yahwe mwenyewe na mamlaka yake. "nabii adai kuzungumza nami" au "nabii adai kuzungumza na mamlka yangu"

nabii amezungumza kwa kiburi

"nabii amezungumza ujumbe huu pasipo mamlaka yangu"