sw_tn/deu/16/16.md

478 B

wanaume wote wanapaswa kuonekana mbele ya Yahwe

Wanawake waliruhusiwa, lakini Yahwe hakuwahitaji kwamba waje. Wanaume wangeweza kuwakilisha familia zao zote.

wanapaswa kuonekana mbele ya Yahwe

"wanapaswa kuja na kusimama kwenye uwepo wa Yahwe"

hawataonekana mbele ya Yahwe mikono mitupu; badala yake, kila mtu

mitupu; badala yake, kila mtu- hawatakuja mbele ya Yahwe bila kuwa na sadaka; badala yake, kila mtu." Hizi sentensi mbili hasi kwa pamoja zina maana chanya.