sw_tn/deu/16/16.md

12 lines
478 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wanaume wote wanapaswa kuonekana mbele ya Yahwe
Wanawake waliruhusiwa, lakini Yahwe hakuwahitaji kwamba waje. Wanaume wangeweza kuwakilisha familia zao zote.
# wanapaswa kuonekana mbele ya Yahwe
"wanapaswa kuja na kusimama kwenye uwepo wa Yahwe"
# hawataonekana mbele ya Yahwe mikono mitupu; badala yake, kila mtu
mitupu; badala yake, kila mtu- hawatakuja mbele ya Yahwe bila kuwa na sadaka; badala yake, kila mtu." Hizi sentensi mbili hasi kwa pamoja zina maana chanya.