sw_tn/deu/16/01.md

521 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

mwezi wa Abibu

Huu ni mwezi wa kwanzza wa kalenda ya Kiebrania. Inaonyesha wakati Mungu aliwatoa watu wa Israeli toka Misri. Ni wakati wa sehemu ya mwisho wa mwezi wa tatu na sehemu ya kwanza ya mwezi wa nne kwa kalenda ya Magharibi.

ishike pasaka

Inamaanisha kwa "kushika pasaka" ambayo walikuwa wanasherehekea na kula chakula cha pasaka.

utatoa dhabihu ya pasaka

Hapa "Pasaka" uwakilisha mnyama ambaye anatolewa dhabihu kwa ajili ya sherehe.