sw_tn/deu/15/18.md

12 lines
373 B
Markdown

# Haipaswi kuonekana ngume kwenu kumruhusu yeye aende huru toka kwenu
Hii ina maana kwamba hawapendi wakati wa kuruhusu mtu aende huru.
# kupewa mara mbili thamani ya mtu aliyeajiriwa
Hii ina maana mmiliki peke alipaswa kulipa ana kiasi kwa ajili ya mtumwa huyu kufanya kazi kuliko angemwajiri mtu kufanya kazi.
# mtu kuajiriwa
Huyu ni mtu anayefanya kazi kwa malipo.